Baadhi
ya Maeneo walimo jeruhiwa wanafunzi hao na Mmoja kupatwa na Mshtuko wa
Mlipuko wa Mabaki ya Mabomu hayo kutokana na Tatizo lake la Moyo
alilonalo na hivyo kupelekea wanafunzi Watano kulazwa Ilembula
Hospitali.
Mkuu wa Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akiwajulia Hali wanafunzi hao katika Hospitali ya Lutherani ya Ilembula.
Mwanafunzi
Evance Joseph[16]kidato cha Kwanza ambaye alikuwa akifanya Majaribio ya
Kuchoma Mabaki hayo ya Bomu huku Mengine akiyahifadhi kwenye Tranka
lake la Nguo.
Wanafunzi
wakiwa wanaendelea kufanyiwa Vipimo vya Mionzi ya Jua kutambua ukubwa
wa Tatizo katika Hospitali ya Ilembula Wilayani Wanging'ombe Mkoani
Njombe.
Mwanafunzi aliyejeruhiwa Katika maeneo Mbalimbali ya Mwili wake ikiwemo Miguuni.
Hapa Mkuu wa Wilaya na Msafara wake ukiongozwa Na JWTZ Makambako.
Msafara ukiwasili katika Shule ya Sekondari NABOTI Iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa Makambako.
Wanafunzi wakimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Njombe.
Mkuu wa
Wilaya ya Njombe Bi.Sarah Dumba akizungumza na Wanafunzi wa Shule ya
Sekondari NABOTI Mara baada ya kutoka katika Hospitali ya Ilembula
kuwajulia Hali wanafunzi Watano waliolazwa kwa Matibabu.
Wanafunzi wa NABOTI Sekondari wakimsikiliza DC na Msafara wake.
Na Gabriel Kilamlya Njombe.
Wanafunzi
Wanne wa shule ya sekondari NABOTI iliyopo katika Halmashauri ya Mji wa
Makambako wamejeruhiwa na Mlipuko wa Mabaki ya Bomu huku mmoja akipata
Mshtuko wa Moyo kutokana na Mlipuko huo Baada ya Wanafunzi Takribani
saba wa Kidato cha Kwanza kwenda kuyaokota Mabaki hayo kwenye Mlima
uliopo Jirani na maeneo ya Jeshi.
No comments:
Post a Comment