Pages

Friday, May 3, 2013

Breaking Newsss::MATOKEO YA KIDATO CHA NNE YAFUTWA NA KUSAHIHISHWA UPYA

:
Kutoka Bungeni Dodoma tunaarifiwa kuwa baada ya matokeo ya kidato cha nne kuwa mabaya mwaka,hatimaye serikali imekubali mapendekezo ya awali ya tume ya uchanguzi ya matokeo ya kidato cha nne ya mwaka jana kufutwa na kusahihishwa upya kupitia mfumo wa usahihishaji wa mwaka 2011 haraka iwezekanavyo.SOURCE ITV TANZANIA
 

No comments:

Post a Comment