Pages

Friday, May 3, 2013

BREAKING NEWSS : WANANCHI WAFUNGA BARABARA YA MWANANYAMALA


Photo: Wakazi wa mwananyamala ujiji maduka matatu kwa mama zakaria wamekusanyika na kufunga barabara Baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 7 kugongwa na kufa papo
Wakazi wa mwananyamala ujiji maduka matatu kwa mama zakaria wamekusanyika na kufunga barabara Baada ya mtoto wa kike mwenye umri wa miaka 7 kugongwa na kufa papo..
wamefunga barabara inayopita eneo hilo wakishinikiza wajengewe matuta baada ya mtoto wa miaka 7 kugongwa na kufariki

No comments:

Post a Comment