Kwenye kipindi cha Power Breakfast kitakacho rushwa siku ya jumatatu saa
mbili asubuhi Ruge Ataongelea issue ya Jay Dee ,Lady Jay Dee ameingia
kwenye vita kali na Clouds Fm huku akimshambulia Joseph Kusaga na Ruge
Mutahaba kwa madai kuwa ndio wanaokula jasho la wasanii.
No comments:
Post a Comment