KIKAO
CHA BODI YA CHUO KIMEKAA LEO NA BODI IMETOA MAAGIZO YA AWALI KWA
UTAWALA WA CHUO AMBAYO YATATANGAZWA KWA KUPITIA WEBSITE HII,, WEBSITE
YA CHUO ,WEBSITE YA SERIKALI YA WANAFUNZI NA MAGAZETI ,PITIENI MITANDAO
HII MARA KWA MARA ILI UWEZE KUPATA TAARIFA YA UHAKIKA NA MAPEMA
ZAIDI,MTAARIFU MWENZIO PINDI UPATAPO TAARIFA HII
Serikali itahakikisha Huduma bora za Afya kuwafikia hata wale wasio na
fedha-Waziri Mkuu
-
Na Pamela Mollel,Arusha
Serikali inafanya kila iwezavyo uhakikisha kuwa wananchi wa Tanzania
wanapata huduma bora za afya hata pale ambapo watakuwa haw...
41 minutes ago
No comments:
Post a Comment