Pages

Friday, May 3, 2013

TAARIFA KWA WANAFUNZI WA CHUO CHA UHASIBU ARUSHA (I.A.A) BAADAYA KIKAO CHA LEO



KIKAO CHA BODI YA CHUO KIMEKAA LEO NA BODI IMETOA MAAGIZO YA AWALI KWA UTAWALA WA CHUO AMBAYO YATATANGAZWA KWA  KUPITIA WEBSITE HII,,  WEBSITE YA CHUO ,WEBSITE YA SERIKALI YA WANAFUNZI NA MAGAZETI ,PITIENI MITANDAO HII MARA KWA MARA  ILI UWEZE KUPATA TAARIFA YA UHAKIKA NA  MAPEMA ZAIDI,MTAARIFU MWENZIO PINDI UPATAPO TAARIFA  HII

No comments:

Post a Comment