HII PICHA NIMEIKUTA KATIKA PROFILE YA MSANII MIKE T, PICHANI NI WASANII
MAARUFU KABISA HAPA BONGO. MWENYE SHIRT NYEKUNDU NI JAY MOE, MWENYE SUTI
KACHUCHUMAA NA PROFESA JAY, ALIYECHUCHUMAA NA KAVAA KOFIA NYEUSI NA
JUMA NATURE, NA ANAYEMFATIA NI MIKE TEE MWENYEWE
WATAALAMU WA UNUNUZI NA UGAVI WAASWA KUZINGATIA MADILI
-
Na Mwandishi Wetu, Mwanza
Wataalamu wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya
taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ili ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment