Pages

Sunday, May 26, 2013

YALIYOJILI WAKATI WA USAHILI WA BIBI BOMBA KWENYE VIWANJA VYA LEADERS CLUB HIKI HAPA



 Majaji wakijadiliana kitu kwenye usahuri wa bibi bomba uliofaywa na Clouds TV kwenye viwanja vya leaders Club
 Bibi akiwa kwenye usahiri
Majaji wa Shindano la 'Bibi Bomba' kutoka  Zamaradi Mketema(kushoto), Babuu wa Kitaa, Regina Mwalekwa na Benny Kinyaiya, wakifuatilia washiriki wakati wakijieleza kuhusu ufahamu wa shindano hilo, lililoanza leo katika Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, wakati wa Tamasha la Nyimbo za Makabila 'Tamadunika' linaloendelea hivi sasa viwanjani hapa.
  Mmoja kati wa washiriki 32, akijieleza wakati wa mahojiano rasmi viwanjani hapo
 
 Baadhi ya mabibi waliokuja kwenye usahiri uliofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders

1 comment: