Majaji wakijadiliana kitu kwenye usahuri wa bibi bomba uliofaywa na Clouds TV kwenye viwanja vya leaders Club
Bibi akiwa kwenye usahiri
Majaji
wa Shindano la 'Bibi Bomba' kutoka Zamaradi Mketema(kushoto), Babuu wa
Kitaa, Regina Mwalekwa na Benny Kinyaiya, wakifuatilia washiriki wakati
wakijieleza kuhusu ufahamu wa shindano hilo, lililoanza leo katika
Viwanja vya Leaders Club Kinondoni, wakati wa Tamasha la Nyimbo za
Makabila 'Tamadunika' linaloendelea hivi sasa viwanjani hapa.
Mmoja kati wa washiriki 32, akijieleza wakati wa mahojiano rasmi viwanjani hapo
Baadhi ya mabibi waliokuja kwenye usahiri uliofanyika leo kwenye viwanja vya Leaders
big up kwa kuwakumbuka wabibi
ReplyDelete