M2 THE P
amefanikiwa kutoa salamu zake za mwisho kwa rafiki yake kipenzi
ambaye alikuwa naye huko Afrika kusini tena walikuwa ndani ya
chumba kimoja kabla ya mauti kumkuta Ngwea..Mwanzoni, M 2 THE P
alikuwa amefichwa na kudanganywa kuwa Ngwea alikuwa ametangulia
Tanzania. Baadaye Maggie alilazimika kumweleza ukweli
WANA CCM WATAKIWA KUTOPOTEZA MUDA KUWAJIBU WAPINZANI..
-
NA WILLIUM PAUL, MOSHI.
WANACHAMA wa Chama cha Mapinduzi wameshauriwa kutotumia muda mwingi
kuwajibu wapinzani kwani wameshapoteza dira na badala yake was...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment