Pages

Thursday, June 27, 2013

MAANDALIZI YA MAONYESHO YA SABA SABA YASHIKA KASI


Banda la Benki Ya NMB kama linavyoonekana katika Viwanja vya Sabasaba ambapo utaweza kupata Huduma Zote za kibenki ikiwemo na  Kufungua Akaunti ya Chapchap na kupewa Kadi ya Kutolea Pesa kwenye Mashine za NMB Papo hapo kwa Gharama ya Tsh 10000 na huku ukiwa na Barua kutoka Ofisi ya Serikali ya Mtaa
 Fundi akipaka rangi kwenye moja ya Banda la Wizara
 Bunge la Tanzania liking'arishwa ili kuleta mvuto katika maonyesho ya Saba Saba ya mwaka 2013
 Fundi Mzigoni
 Bustani ikiwekwa safi kabisa
 Makabati yakiletwa tayari kwa maonyesho ya saba saba
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar wakipita ndani ya viwanja vya sabasaba kwaajili ya Kutafuta vibarua vya hapa na pale
 Kilimo Kwanza
 Magodoro yakipelekwa tayari kwa mauzo
 Home Shopping Center watakuwa hapo
 Wakazi wa Jiji la Dar wakitafuta vibarua vyua hapa na pale
 JKT wazee wa kilimo na kujenga taifa

No comments:

Post a Comment