Pages

Thursday, June 27, 2013

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AFUNGA MAFUNZO YA UOFISA NA UKAGUZI MSAIDIZI WA CHUO CHA POLISI DAR LEO


 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta John Makuri Imori, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta Leah Nicholaus Ncheyeki, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimkabidhi Cheti Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Akama Mohamed Shaaban, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, Inspekta Alekunda John Urio, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimvisha Cheo cha Heshima, Mhitimu wa Mafunzo ya Uofisa na Ukaguzi Msaidizi wa Chuo cha Polisi cha Dar es Salaam, S/SGT Juma Sadiki Bahati, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo iliyofanyika leo chuoni hapo jijini Dar es Salaam.
 Sehemu ya askari waliohudhuria hafla hiyo.

 Aaskari wahitimu wa mafunzo hayo akiwamo na Mwanadada, wakionyesha mchezo wa kujihami na adui wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo. KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPO CHINI

 Askari wahitimu wakila kiapo......huku mvua ikinyesha pande hizo....
 Maofisa wa Polisi, wakishuhudia burudani iliyokuwa ikirindima pande hizo...
 Askari wakipita mbele ya mgeni rasmi Makamu wa Rais, Dkt. Bilal, na kutoa heshima, wakati wa hafla ya kufunga mafunzo hayo.
 Askari hao wakionyesha jinsi ya kubana pumzi wakati wa kujihami na adui.
 Vinja ubao kwa teke.....
 Kikosi cha Singe kikipita mbele ya mgeni rasmi na kutoa heshima......
 Kikundi cha Kwaya cha Jeshi la Polisi kikitoa burudani......

No comments:

Post a Comment