NYOTA wa Newcastle United, Cheick Tiote amepandishwa kizimbani kwa mashitaka matano, ikiwemo kutumia leseni feki ya udereva na kudanganya. Mwanasoka huyo wa kimataifa wa Ivory Coast, aliyetimiza miaka 27 jana, anatuhimiwa kutumia leseni feki ya udereva ya Ubelgiji na kufanya jithada za kupata leseni ya Uingereza.
No comments:
Post a Comment