Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, June 26, 2013

ZANZIBAR YAADHIMISHA SIKU YA UPIGAJI VITA MADAWA YA KULEVYA

IlalaWaziri wa Afya  Juma  Nuni  Haji akipokea mandamano  yaliongozwa  na vijana wa Chipkizi, katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani huko  Meya , nje kidogo ya Mji wa Zanzibar. 02Walioacha kutumia madawa ya kulevya wakipita kwa mandamano mbele ya mgeni rasmin  Waziri wa Afya  Juma  Nuni  hayupo pichani, katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani. 03Addy Amer alieacha kutumia madawa ya kulevya akitoa ushuhuda wa madawa ya kulevya, na kuwataka vijana wasijaribi kuyatumia kwani yanahatarisha maisha kwa ujumla. 04Waziri wa Afya  Juma  Nuni  Haji, akiwahutubia wananchi na waliocha kutumia madawa ya kulevya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani, kuli Kaimu Mkurugenzi Mtendaji Tume ya Dawa za kulevya Muhmoud Mussa,kushoto Naibu Kadhi Mkuu Zanzibar Hassan Othman.
05Waziri wa Afya  Juma  Nuni  Haji akiwa na viongozi mbalimbali, Makanda wa Polisi katika picha ya pamoja na walioacha kutumia madawa ya kulevya huko Meya katika madhimisho ya siku ya upigaji vita matumizi na biashara haramu ya madawa ya kulevya Duniani Jun 26.
Picha na Makame Mshenga- Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment