ANGALIA PICHA ZA MAPOKEZI YA WANAJESHI WA TANZANIA WALIOUWAWA MJINI DARFUR WALIVYOPOKELEWA
Ndege
iliyoileta miili ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur ikiwasili eneo
la Jeshi katika Uwanja wa Kimataifa wa Julias Nyerere
Baadhi
ya askari wa JWTZ wakibeba miili ya wanajeshi wenzao waliouwawa Darfur
kuiingiza kwenye magari maalum kabla ya kuondolewa katika uwanja wa
jeshi.
Baadhi
ya askari wa JWTZ wakibeba miili ya wanajeshi wenzao waliouwawa Darfur
kuiingiza kwenye magari maalum kabla ya kuondolewa katika uwanja wa
jeshi.
Baadhi ya askari wa JWTZ wakifunika majeneza ya askari hao kwa bendera ya taifa mara baada ya kushushwa kwenye ndege maalum
Makamu
wa Rais Dk Gharib Bilal akiongoza viongozi mbalimbali na maofisa wa
jeshi la JWTZ, Jeshi la Polisi na wengine mbalimbali kupokea miili hiyo
Baadhi ya wanajeshi na wahudumu wa ndege wakishusha miili ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur hivi karibuni.
Baadhi ya maofisa wa JWTZ na maofisa wa UN waliosindikiza miili ya wanajeshi wa JWTZ waliouwawa Darfur wakishuka kwenye ndege
MAJENEZA YALIYOBEBA MIILI YA WAPIGANAJI HAO IKITOLEWA KUTOKA KWENYE NDEGE
No comments:
Post a Comment