Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, July 20, 2013

CLOUDS FM KUPITIA KIPINDI CHA IJUMAA KAREEM YATEMBELEA VITUO VYA WATOTO MAORORGORO

Mbwiga Mbwuguke akiwa amekulapose na watoto wa kituo cha watoto cha Darul Iman kilichopo Mkoani Morogoro, kupitia kipindi cha Ijumaa Kareem cha Clouds FM watoto hawa walitembelewa kufurahi nao pamoja na kuwapa vitu mbalimbali, siku ya Ijumaa 19 Julai 2013.
Samira mtangazaji wa kipindi cha Ijumaa Kareem akiwa katika kituo cha watoto cha Darul Muslimeen kilichopo Morogoro walipowatembelea kupitiakipindi cha Ijumaa Kareem cha Clouds FM siku ya Ijumaa 19 Julai 2013

No comments:

Post a Comment