Mbwiga
Mbwuguke akiwa amekulapose na watoto wa kituo cha watoto cha Darul Iman
kilichopo Mkoani Morogoro, kupitia kipindi cha Ijumaa Kareem cha Clouds
FM watoto hawa walitembelewa kufurahi nao pamoja na kuwapa vitu
mbalimbali, siku ya Ijumaa 19 Julai 2013.
No comments:
Post a Comment