Pages

Monday, July 1, 2013

HIVI NDIVYO MATEJA WALIVYOKUWA WANAONDOLEWA POSTA KABLA YA OBAMA KUPITA

Wazee wako na teja kalinukisha posta pako kimya baadhi ya watu wapo kandokando ya barabara wakisubili msafara wanataka waone magar ya msafara....
 Mda huu ni saa7 kasoro barabara inafagiliwa tena kama unavyomuona huyu jamaa hapa posta ya zamani karibu na bustani he he he chezea ujio wa Obama......

No comments:

Post a Comment