Pages

Tuesday, July 9, 2013

MFAHAMU MWANADADA "MELLIS EDWARD" ANAYEDAIWA KUKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA PAMOJA NA "AGNESS MASOGANGE. TAZAMA PICHA ZAKE HAPA

 
Picha  ya  Mrembo Mellis Edward  anayedaiwakukamatwa  na  madawa  ya  kulevya  Afrika  kusini  akiwa  na  Agness Masogange

Mellis Edward
Inahisiwa kuwa  huyu mwanamke wa pili aliyetajwa na Kamanda Nzowa kwa jina la “Melisa Edward”  ni mdogo wake na Agnes ambaye katika akaunti ya facebook anayo tumia jina la (MELLIS EDWARD) , Agnes amemuweka katika orodha ya family kama ‘sister’ katika akaunti yake ya Facebook.
picha na bongo clan
AKIWA NA MSANII IZZO B BATANI


No comments:

Post a Comment