Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 4, 2013

PICHA:SHOW YA DIAMOND KWENYE UFUNGUZI WA MSASANI CITY MALL BALAA TAZAMA HAPA


Kadri siku zinavyozidi kwenda Tanzania inazidi 
kupiga hatua na kujengeka,Na hii
ni Mall mpya iliyozinduliwa jana yarehe 3/7/2013 jijini 
Dar es salaam inayoitwa Msasani
City Mall na wasafi wakabahatika kutoa burudani kwenye
 uzinduzi huo,Ilikuwa show ya 
bure lakini tulishindwa kutangaza sababu ya usalama...!!

Katika kupendezesha ufunguzi huu wakaona uende na
sambamba na burudani ya muziki na muziki wa kizazi kipya...
Nilikuwepo kwenye stage mimi na wasafi
 kufanya ule ukali wetu na unyama wangu kwa ujumla kuhakikisha
naondoka hapa siachi mashabiki zangu wakilalamika
bali watamani tena kuniona karibuni tukiringa ringa
kwenye stage......
uku kushoto kwenye muziki nikisimamiwa na My
Blood Rommy Jones uku kwa upande
wa wasanii wa kizazi kipya alikuwepo Shetta The Don
na Nguli wa Muziki wa Kizazi Kipya
The one n only himself my Brother Prince Dully
 Sykes kwenye uzinduzi.....
Kama kawaida yangu nilikuja kufanya kilichonileta na
kukonga nyoyo za mashabiki zangu si unajua
tena atuchagui sehemu popote tunakinukisha kuakikisha
kila tunapotua tunaacha historia baada ya show....picha zote kwa hisani ya thisis diamond

Zifuatazo Picha kwenye ufunguzi wa Jumba la Biashara maeno ya msasani:





with my Brother from another mother the
 only Legendary Dully sykes


BackStage Qboy Msafii & Dully



Sheeeeee sheeeeetaaa the don King Mswatiii



Wacha weeeh watu wakifurahia muziki mtamu na mzuri....!!






Kikosi cha Wasafiiii....!

WASAFIII.....!!



Kwenye show viuno mbele mbele....!!





























Jeshi zima la wasafi stejini...taratibu 






Mizuka sio kwa diamond tu hadi kwa Dj,Angalia sasa hapo
akifanya yake bhana DJ Rommy Jones on the One & two
hatari kabisa...!!














Kwa michezo ya kuringa ringa ndio wanadata....
















Twende sasa hapo....''Go Go Go kichwa Go kichwa''

Hapo...ajajaja unaichukua chini hadi juu twende wote sasa...!!


Qboy Msafiii & DJ Rommy Jones on set akiharibiki kitu hapo....!!

hapo sasa


Jumba ili la Biashara linavyoonekana kwa mwonekano
 wa Mbele hakika kwa ujumla
inafurahisha kuona maendeleo yakifanyika nchini mwetu
ni jambo la kheri na Busara..!


balaaaa sana hapa







Na ubongo unapata mawazo...!!

Mizuka imepandaaa

furaha ya burudaniii





vinasa picha navyo vilikuepo


Ajajajaja Prince Brothermen Dully akipagawisha
stejini......kumbe muda upo bado
basi sawa''


Ukikata utamu....utamu..... utamu.....utamu hanhaiii....!!


Pisto yangu naikoki mama....unaanza kuishika shika.......
alafu....?? Malizia mwenyewe...!!




Hapo sasa.....Utamu utamu ndo ngoma kwenye jukwaa sasa....!!

Baby DE'Anthon huh Handsome.....''UTAMU UTAMU''
Dully katika...katika....Dully katika....katika!!




shangwe za kutosha







Rama Mpauka,Emma Platnum & Dummi Utamu...!!
Usalama ulimarishwa kila kona


No comments:

Post a Comment