Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, July 4, 2013

RAIS WA MISRI MOHAMED MORSI ANG'ATUKA RASMI MADARAKANI

Aliyekuwa Rais wa Misri Mohamed Morsi
ametolewa madarakani na jeshi la
wananchi wa Misri baada ya kukaidi amri ya jeshi
 aliyopewa siku ya jumanne kuachia
madaraka ndani ya saa 48 toka siku hiyo....

Licha ya Jeshi kutoa mari hiyo alikaidi amri hiyo na
kuendelea kuutubia licha ya hata
mawaziri sita kwenye serikali yake kuachia
madaraka mapema kabla hali ya hatari
aijatanda kwenye nchi hiyo.....
Jana usiku wa tarehe 4 Jeshi liliamua kumpindua Rais
huyo aliyekuwa anapewa kiburi na
wanajeshi wachache baada ya mbinu kutumika na kujikuta
kufikia majira ya saa 4
usiku alikuwa amezingirwa na jeshi na kuhamishwa
kuwekwa sehemu ambayo hadi sasa
awajaitaja.....
Uku nje ikionekana wananchi waliokuwa wamepiga
kambi kwa muda wa siku 4 wakifurahia
mapinduzi ya Rais huyo aliyekuwepo madarakani
 baada ya wananchi hao hao waliomchagua baadaya kukata
utawala wa Rais Mubaraq miezi 3 nyuma,alietwala nchi
hiyo kwa zaidi ya miaka 14....
Kwa sasa Misrii ipo chini ya uongozi wa jeshi hadi hapo
jumamosi jaji mkuu wa nchi hiyo atakapoapishwa
kushikiria nchi hiyo
kwa muda wa miezi 3 kama katiba ya nchi hiyo inavyosema,
Kama nchi itapinduliwa na jeshi basi jaji anaruhusiwa kutawala mpaka
kipindi hicho kipite
uchaguzi ufanyike wa uhuru na haki....!!

Tusubiri tuone kitakachojiri kwenye muda huu
wakati jeshi wakishikilia nchi...!!

No comments:

Post a Comment