Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiweka ngao/sime katika mnara wakati wa maadhimisho ya kumbukumbu ya
Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera leo
Julai 25, 2013.
Viongozi wa dini wakisoma dua kwenye maadhimisho hayo. Pembeni ni Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein,
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande
Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe Othman Makungu.
Rais Jakaya Kikwete akitembelea makaburi ya mashujaa waliopoteza maisha wakati wa vita na Nduli Iddi Amini wa Uganda.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisalimiana na Wazee ambao ni sehemu ya mashujaa wetu walio hai waliohudhuria maadhimisho ya kumbukumbu ya
Mashujaa katika kambi ya jeshi ya Kaboya, Bukoba, mkoani Kagera leo
Julai 25, 2013.
Katika
maadhimisho haya alikuwepo pia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi Dkt Mohamed Ali Shein, Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib
Bilali, Jaji Mkuu Mheshimiwa Chande Othman na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe
Othman Makungu
PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment