Pages
(Move to ...)
Home
IT page
Advertisement
Sports news
comedy zone
Contanct and where we are
JICHO LA CAMERA YANGU
▼
Monday, July 1, 2013
TUNAZIBUA OBAMA ASIJE LIONA HILI...
Mafundi wa DAWASCO wakizibua chemba ya maji taka iliyokuwa imeziba na kumwaga maji katika mzunguko wa Bandari Klabu jijini Dar es Salaam leo. Chemba hiyo ilikuwa ikitema maji hayo kwa siku kadhaa bila marekebisho.PICHA NA MROKI
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment