WANAHABARI INABIDI TUHESHIMIKE::HEBU TAZAMA MPIGA PICHA HUYU WA NEW HABARI ALIVYOSUKUMWA KAMA SIO MTANZANIA!
Mpigapicha wa New Habari Anthony Siyame akidhalilishwa na askari wa
Idara ya Usalama wa Taifa wakati wa mapokezi ya Waziri Mkuu
wa ...Thailand Yungluck Shinawatra baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa
kimataifa JNIA. Cha ajabu ni kwanba wakati vyombo vya habari
vijinyanyapaliwa na kukosa kufanya kazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani
ya nche yake zawa wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana
kwamba ni miungu na kufanya kazi zao bila bughuza kwa kupiga picha hadi
uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand.
Hii habari yakichochezi na haina mantiki yoyote, Aidha imejaa maneno hasi yasiyo jenga na yenye kukiuka mipaka ya habari. Kama alisukumwa basi alizidi mipaka au alitiliwa mashaka kwani huyu alompiga picha alikua wapi? mbona yeye hakusukumwa? mbona mimi nilikuepo lakini sikuona waandishi wengine wakifanyiwa vurugu. Wewe ni mpumbavu alafu huna akili na maadili ya kazi huna.
Hii habari yakichochezi na haina mantiki yoyote, Aidha imejaa maneno hasi yasiyo jenga na yenye kukiuka mipaka ya habari.
ReplyDeleteKama alisukumwa basi alizidi mipaka au alitiliwa mashaka kwani huyu alompiga picha alikua wapi? mbona yeye hakusukumwa? mbona mimi nilikuepo lakini sikuona waandishi wengine wakifanyiwa vurugu. Wewe ni mpumbavu alafu huna akili na maadili ya kazi huna.
Tanzania tutamalizwa. Wanahabar amtakiwi kulalama, kaz n kwenu nyie ndo tz yenyew na ndo mnaoishape xo du ya thang men
ReplyDelete