kukosa kufanya kazi yake kwa uhuru na uzarendo ndani ya nche yake zawa wanahabari wengine wakigeni walipewa ushirikiano kana kwamba ni miungu na kufanya kazi zao bila bughuza kwa kupiga picha hadi uvunguni kwa waziri mkuu huyo kutoka kwa wakulima mpunga Thailand.
MKURUGENZI MKUU FCC:MOJA YA KAZI YETU NI KUDHIBITI BIDHAA BANDIA,KUMLINDA
MLAJI
-
Na Said Mwishehe,Michuzi TV
MKURUGENZI Mkuu wa Tume ya Ushindani(FCC)William Erio amesema moja ya
jukumu la tume hiyo ni kudhibiti bidhaa bandia n...
1 hour ago
Hii habari yakichochezi na haina mantiki yoyote, Aidha imejaa maneno hasi yasiyo jenga na yenye kukiuka mipaka ya habari.
ReplyDeleteKama alisukumwa basi alizidi mipaka au alitiliwa mashaka kwani huyu alompiga picha alikua wapi? mbona yeye hakusukumwa? mbona mimi nilikuepo lakini sikuona waandishi wengine wakifanyiwa vurugu. Wewe ni mpumbavu alafu huna akili na maadili ya kazi huna.
Tanzania tutamalizwa. Wanahabar amtakiwi kulalama, kaz n kwenu nyie ndo tz yenyew na ndo mnaoishape xo du ya thang men
ReplyDelete