Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, August 13, 2013

AFYA LEO::Harufu mbaya kinywani na namna ya kuiondoa


harufu fe824
Kuna mbinu tofauti ambazo watu hutumia katika kujaribu kuondoa harufu mbaya ya kinywa, zikiwemo pia tiba asilia kama vile matumizi ya unga wa mkaa au maji ya karafuu.
Lakini nini hasa kinasababisha harufu mbaya mdomoni? Je, ni ugonjwa au ni kukosa usafi mdomoni? Amina Abubakar anaangazia mambo mengi zaidi juu ya swala zima la unadhifu wa kinywa na maradhi ya kunuka mdomo katika makala hii ya Afya Yako
Bofya hapa kusikiliza hapa

No comments:

Post a Comment