AFYA LEO::Harufu mbaya kinywani na namna ya kuiondoa
Kuna mbinu tofauti ambazo watu hutumia
katika kujaribu kuondoa harufu mbaya ya kinywa, zikiwemo pia tiba
asilia kama vile matumizi ya unga wa mkaa au maji ya karafuu.
Lakini nini hasa kinasababisha harufu
mbaya mdomoni? Je, ni ugonjwa au ni kukosa usafi mdomoni? Amina Abubakar
anaangazia mambo mengi zaidi juu ya swala zima la unadhifu wa kinywa na
maradhi ya kunuka mdomo katika makala hii ya Afya Yako Bofya hapa kusikiliza hapa
No comments:
Post a Comment