Mafundi
wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha
Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kimeingia mkataba wa
kurusha
matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara.
Yataanza kurushwa Septemba mwaka huu. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
BALOZI NCHIMBI AJIANDIKISHA KUPIGA KURA SERIKALI ZA MITAA, ATOA WITO WATU
KUJITOKEZA KWA WINGI
-
Na Mwandishi Maalum, Dodoma
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi
amejiandikisha kwenye daftari la wakazi katika mtaa...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment