Pages

Sunday, August 25, 2013

ANGALIA PICHA JINSI JENGO LA AZAM TV LITAKAVYOKUWA

clip_image001Mafundi wakiendelea na ujenzi wa Makao Makuu ya Kituo kipya cha Televisheni cha Aam TV, eneo la Tazara, Dar es Salaam. Kituo hicho kimeingia mkataba wa kurusha
matangazo ya mechi za Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara. Yataanza kurushwa Septemba mwaka huu. PICHA NA KAMANDA WA MATUKIO BLOG
clip_image001 

No comments:

Post a Comment