Angalia Picha Za MAANDALIZI YA UZINDUZI WA FIESTA 2013 89.3 KIGOMA TWENZETU
Bonge
akiwa mitaa ya Kigoma mbele ya gari aina ya Vitz ambayo atakabidhiwa
mshindi katika msimu mpya wa Fiesta 2013 Kigoma siku ya Jumamosi 17
August 2013 katika viwanja vya Lake Tanganyika Stadium Twenzetu.
Millardayo.
Mbwiga Mbwiguke.
Mwenyekiti
wa kamati kuu ya Fiesta 2013 Sebastian Maganga akiongea na mkazi wa
Kigoma wakati timu ya Clouds FM ilipokuwa ikitembea katika mitaa
mbalimbali ya Kigoma mjini.
Wakazi
wa Kigoma wakiangalia gari aina ya Vitz likipita, gari hiyo atapewa
mshindi katika msimu mpya wa Fiesta 2013 siku ya Jumamosi 17 AAugust
2013.
No comments:
Post a Comment