Yalikuwa ni
majira ya usiku wakati Hemedy PHD anamrudisha mshkaji wake Gelly wa
Rhymes home kwake Sinza ndipo mshkaji wakati anarudi kwake ndipo
ikatokea hii ajali mbaya kwa kugonga kalivati lililopo pembeni ya mtaro
hapa maeneo ya Kijitonyama Kisiwani. Hemedy ameumia kwenye paja na
kifuani ambapo staring ilimbana, kwa sasa bado yuko hosp anaendelea na
matibabu.CHANZO BONGO CLANTZ
Benki Ya CRDB yashinda Tuzo 2 za Kimataifa za Mwajiri Bora – ‘Top Employer’
-
* Dar es Salaam, Januari 20, 2025 - Benki ya CRDB imeendelea kung’ara
kimataifa baada ya kutunukiwa tuzo 2 za Mwajiri Bora (Top Employer) na
taasisi ya k...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment