DALADALA YAGONGA GARI NYINGINE KWA NYUMA MAENEO YA SINZA
Sikupata picha zikiwa vizuri cause nilikuwa ndani ya gari na inaenda,hapo ni mwenye gari iliyogongwa akiangalia taa zake za nyuma kama ziko salama,baada ya daladala kugonga kwa nyuma PICHA ZOTE NA DJ SEK
No comments:
Post a Comment