skip to main |
skip to sidebar
HONGERA MTANDAO WA MBEYA YETU KWA USHINDI MLIOUPATA KWENYE MAONYESHO YA NANE NANE
MBEYA YETU BLOG(www.mbeyayetu.blogspot.com)
mtandao unaomilikiwa na Tone Multimedia Group waibuka Kidedea na
Kuchukua MSHINDI WA KWANZA katika kundi la MATANGAZO YA DIGITALI wakati
wa maonesho ya kumi ya KILIMO KI-KANDA . Tunapenda kuwashukuru wadau
wetu kwa kutufikisha hapa . Bila kusahau Bloggers wote.
Kutoka kushoto ni Venance Matinya, Joseph Mwaisango , Kamanga Ezekiel,
Fredy Tony , na wenzetu ambao hawapo pichani, ambao ndio tulikuwa Live Viwanja vya Nane Nane Mbeya..
No comments:
Post a Comment