Mwenyekiti CCM Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya
CCM mjini Dodoma Agosti 23, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Kushoto
ni Makamu mwenyekiti Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein na kulia Katibu
Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana.
Wajumbe wa kamti Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Dr. Asha
Rose Migiro (kushoto) wakisalimiana kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa
Kamati kuu ya CCM mjini Doma Agosti 23, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri
Mkuu)
RAIS SAMIA AWAINUA PIKIKIPI 37 MAAFISA UGANI WA KILIMO KIBAHA TC
-
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA
Halmashauri ya Kibaha mji imepokea jumla ya pikipiki zipatazo 37 kutoka
serikalini kupitia Wizara ya kilimo kwa lengo la kuwaweze...
9 hours ago
No comments:
Post a Comment