Pages
(Move to ...)
Home
IT page
Advertisement
Sports news
comedy zone
Contanct and where we are
JICHO LA CAMERA YANGU
▼
Friday, August 23, 2013
KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA KAMATI KUU YA CCM MJINI DODOMA
Mwenyekiti CCM Rais Jakaya Kikwete akifungua Mkutano wa Kamati Kuu ya CCM mjini Dodoma Agosti 23, 2013.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Kushoto ni Makamu mwenyekiti Zanzibar Dr. Ali Mohamed Shein na kulia Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana.
Wajumbe wa kamti Kuu ya CCM, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Dr. Asha Rose Migiro (kushoto) wakisalimiana kabla ya kufunguliwa kwa mkutano wa Kamati kuu ya CCM mjini Doma Agosti 23, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment
‹
›
Home
View web version
No comments:
Post a Comment