Kamishna
Msaidizi Mwandamizi wa Jeshi la Magereza, Mlasani Kimaro akinyanyua juu
Kikombe cha Zawadi ya Mshindi wa kwanza wa jumla katika Maonesho ya
Wakulima-Nane Nane baada ya kukabidhiwa na Mgeni rasmi Makamu wa Pili wa
Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika Kilele
cha sherehe za Maonesho ya Nane Nane Kitaifa, yaliyofanyika Uwanja wa
Nzuguni, Dodoma.(Picha na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
RC CHALAMILA ATANGAZA UUZAJI VIWANJA MABWEPANDE-KINONDONI
-
-Asema Serikali imeshapima viwanja zaidi ya 2274.
-Awataka wale wote waliovamia na kujenga kulipia viwanja hivyo mara moja
kwa kuwa wamepunguziwa bei.
...
7 hours ago
No comments:
Post a Comment