Diamondi apost picha katika instagram ambayo alipiga akiwa na mkali wa
miondoko ya HIP HOP ajulikanae kama R.O.M.A mkatoliki ikionyesha KIDOLE
cha kati kuhashilia kuwatukana waitazamayo hiyo picha na sijui ni
kuwatukana mashabiki wake au vipi ila inareportiwa awakera mashabiki
zake na wamemtaka aiondoe mtandaoni mara moja na kuwataka radhi kwa kile
kilichodaiwa kuwa ni kujivunjia HESHIMA yake kwa kasi sana pasipo yeye
kujijua nini anakifanya.....
AZAM SEA TAXI ZAZINDULIWA, AWATAKA WAVUVI KUTOTUPA NYAVU HOVYO.
-
Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega amewataka wananchi wanaojishughulisha na
uvuvi maeneo ya Kigamboni kutunza mazingira na kutotupa nyavu katika njia
inayopit...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment