Yvonne Cherryl(Monalisa) ambaye ni actress maarufu Swahiliwood juzikati
alifanyiwa surprise ya kumwagiwa Shampeni na wafanyakazi wa radio Times
fm ya jijini Dar es salaam. Siku hiyo wafanyakazi hao walimpigia simu
Monalisa wakimtaka aende ufukwe wa Coco Beach na yeye kwenda akijua
ameitiwa kampani ya kawaida tu. Lakini alipofika akaanza kumwagiwa
shampeni na maji huku wakimwimbia wimbo wa hAappy Birthday kumbe ilikuwa
siku yake ya kuzaliwa actress huyo akitimiza miaka 32. Angalia picha
ilivyokuwa.............
Tumieni elimu kutatua changamoto kwenye kilimo – Wakulima Bonde la
Kilombero waambiwa
-
Alhamisi Kilombero, Morogoro 17 October 2024 Wakulima wa miwa Bonge la
Kilombero wameombwa kutumia elimu kutatua changamoto zinazowakabili kwenye
kilimo...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment