PICHA YA SIKU::MTAZAME MKUU WA MKOA WA DODOMA AKIYARUDI MAYENU
Mkuu
wa Mkoa wa Dodoma Dr. Rehema Nchimbi a.k.a mtu wa mungu vanga likiwa limekolea akiserebuka pamoja na kikundi cha vijana
cha hamasa kutoka Mkoa wa Dodoma wakati wa shamrashamra za kuupokea Mwenge wa
Uhuru ukitokea Mkoa wa Singida leo hii.
No comments:
Post a Comment