Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, August 22, 2013

PICHA ZA MAZISHI YA MTOTO WA PHILIP MANGULA


 
Mwakilishi wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela Mangula Mh. Anne Makinda akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa marehemu pamoja na ratiba za mazishi.
Wana familia na waombolezaji wakiwa katika hali ya huzuni.
Wanafunzi wa Chuo cha Diplomasia wakiwa wamebeba mwili wa Marehemu Nemela Mangula,mkoani Njombe. 
Jeneza la Neema Philip Mangula 
Watumishi wa CCM Makao Makuu wakibadilishana mawazo na Viongozi wa Dini wakati wa mazishi ya Neema Mangula.
Mahala ulipopumzishwa mwili wa Neema Mangula.

No comments:

Post a Comment