Mwakilishi
wa Mheshimiwa Rais katika mazishi ya Nemela Mangula Mh. Anne Makinda
akiwa ameongozana na Mh. Wassira na viongozi wengine wakipitia wosifu wa
marehemu pamoja na ratiba za mazishi.
Watumishi wa CCM Makao Makuu wakibadilishana mawazo na Viongozi wa Dini wakati wa mazishi ya Neema Mangula.
Mahala ulipopumzishwa mwili wa Neema Mangula.
No comments:
Post a Comment