Pages

Thursday, August 22, 2013

SERIKALI MNALIONA HILI,KITUO CHA MABASI KIVUKONI CHAGEUKA BWAWA LA SAMAKI JIONEE


                                                Maji yakiwa yamejaa kuzunguka kituo chote
 Mashimo ya mitaro yakiwa yameziba kutokana na kujazwa uchafu,hivyo maji ya mvua yanashindwa kupita na hatimaye kusababisha kutuama

No comments:

Post a Comment