AY, Mwana FA, Snare,Buff G na Pauline Zongo wote leo wameungana kumpa
support King Crazy GK aliyekuwa akitambulisha ngoma yake mpya na ujio
wake baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu. Ngoma hiyo imetambulishwa
kwenye kipindi cha XXL cha Clouds FM.
ECT wakiwa na watangazaji wa XXL, Clouds FM
GK akiongea
SERIKALI YASAKA UBIA PPP KWENYE MIRADI YA KUSAFIRISHA UMEME
-
Na Mwandishi Wetu, Dodoma
Serikali ya Tanzania imeanza mazungumzo na kampuni mbili za kigeni zenye
nia ya kuwekeza jumla ya Dola za Marekani bilioni 1.2 ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment