Kufuatia tukio la wizi lililotokea leo katika benki ya Habib African iliyopo
Kariakoo jijini Dar es Salaam na kuibiwa zaidi ya shilingi milioni 900
za Tanzania, Jeshi la Polisi limetangaza dau la shilingi milioni moja
kwa mtu yeyote atakayefanikisha kukamatwa kwa majambazi yaliyofanya
hicho kitendo. Majambazi hayo yaliyokuwa yamevaa sare za Jeshi la Polisi yalivamia benki hiyo na kupora Dola za Kimarekani 181,885 sawa na shilingi milioni 293.9
za Tanzania. Pia yalipora jumla ya shilingi milioni 700 za Tanzania na
kufanya jumla ya fedha zilizoibiwa kuwa shilingi milioni 993.9.
ZAINA FOUNDATION, PARADIGM INITIATIVES YATOA MAFUNZO KUHUSU SHERIA YA
ULINZI WA TAARIFA BINAFSI
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
TAASISI ya Zaina Foundation kwa kushirikiana na taasisi ya Amnesty pamoja
na Paradigm Initiatives zimefanya warsha ya pamoj...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment