skip to main |
skip to sidebar
Wafanyakazi TBL wapokea udhamini wa Barcelona
Mkurgenzi Mkuu wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Robin Goetzsche
akiwahutubia wafanyakazi wa kampuni hiyo, makao makuu, Ilala, Dar es
Salaam leo wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni hiyo
kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa
klabu ya Barcelona ya Hispania.
Brass Band ikiongoza maandamano hayo kwa ajili ya kupokea udhamini wa Castle Lager kwa timu ya Barcelona
Wafanyakazi
wa TBL wakitoka makao makuu ya kampuni hiyo, Ilala, Dar es Salaam
wakati wa maandamano ya kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager
kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Wasanii
wa kundi cha Bombeso, wakicheza soka wakati wa hafla maalum ya
wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler
Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Msanii
Azara Charles akimiliki mpira kwa ustadi wa hali ya juu wakati wa hafla
maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya
Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja
Masoko wa SABMiller Africa, kampuni mama ya TBL, David Minja (kushoto)
akijadiliana jambo na Meneja Uhusiano wa TBL, Dorris Malulu (kulia)
wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea
udhamini wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya
Barcelona ya Hispania.
Wafanyakazi wa TBL wakipata kinywaji wakati wa hafla maalum ya
wafanyakazi wa kampuni hiyo kusherehekea udhamini wa bia ya Castler
Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja
Masoko wa SABMiller Africa, kampuni mama ya TBL, David Minja (kushoto)
akiwa na Meneja Masoko wa TBL, Natalia Celani kulia wakati wa hafla
maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya
Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Meneja
wa Bia ya Kilimanjaro, George Kavishe akifurahia wakati wa hafla maalum
ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya
Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
Mkurugenzi
wa Masoko wa TBL, Kushika Thomas akifurahia bia ya Castle Lager wakati
wa hafla maalum ya wafanyakazi wa kampuni ya TBL kusherehekea udhamini
wa bia ya Castler Lager inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya
Hispania.
Mfanyakazi
wa TBL, Macco Ngoma akifurahia wakati wa hafla maalum ya wafanyakazi wa
kampuni ya TBL kusherehekea udhamini wa bia ya Castler Lager
inayozalishwa na TBL kwa klabu ya Barcelona ya Hispania.
No comments:
Post a Comment