Baadhi ya
Wasanii wa muziki wa kizazi kipya a.k.a Bongo Fleva, ambao wapo safarini
kuelekea mkoani Kigoma kwa ajili ya kushambulia jukwaa la Tamasha la
Fiesta 2013, linalorajia kufanyika Agosti 17, kwenye Uwanja wa Lake
Tanganyika mkoani humo, wakiwa kwenye Makaburi ya Kihonda katika kaburi
la Msanii mwenzao, Marehemu Albert Mangwea, leo asubuhi, nje kidogo ya
mji wa Morogoro, walipofika kuzuru kaburi hilo na kumuombea dua. Mungu
ailaze roho ya marehemu Mangwea, mahali pema peponi-Amen
TGNP YATOA MAFUNZO KWA WANAWAKE WAGOMBEA SERIKALI ZA MITAA
-
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), umeendelea na utaratibu wake wa kujengea
uwezo wanawake viongozi katika Mamlaka za serikali za Mitaa ili waweze
kuendee...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment