Cheka
akishuka kwenye VX nyeupe aliyosafiri nayo toka Dar mpaka Moro na
kuingia kwenye gari ya wazi eneo la Nane Nane tayari kwa msafari wa
kuelekea katikatika ya mji wa Morogoro
Mmoja wa
wafadhi wa Cheka Bw Machange[kushoto] ambaye kwenye mapokezi hayo
alitoa magari yake 4 yakiwemo hayo mawili yanayyonekana pichani
Cheka akinyanyua mkanda aliokabidhiwa
Agost 30 baada ya kumtwanga Mmarekani Phil William mbele ya kamera za
Mtandao huu jana jioni muda mfupi baada ya kuwasiji mkoani Morogoro
Cheka
akizungumza na umati mkubwa wa watu uliofulika kwenye ukumbi wa Old Vai
jana majira ya saa 12 jioni kwenye mapokezi hayo ya Cheka kulikuwa na
vituko kibao kikiwemo cha mlemavu wa miguu aliyenusurika kugongwa na
gari alipotaka kumshika mkono Cheka baada ya kuona tukuo hilo Cheka
alisimamisha msafara huo na kumshika mkono mlemavu huyo kwa habari
PICHA ZOTE NA DUSTAN SHEKIDELE,MOROGORO
No comments:
Post a Comment