ANGALIA PICHA:JKT WALIPOKUWA WAKIMALIZA MAFUNZO KIKOSI CHA 842 JKT MLALE
Mgeni
rasmi, Mkuu wa Wilaya ya Mbinga, Senyi Ngaga amewaasa vijana
wanaomaliza mafunzo ya miezi mitatu katika Oparesheni Malumu katika
kikosi cha 842 JK Mlale, kuachana na tabia za kuiga zenye kuharibu
maadili.
Pia amewataka
vijana kuwa chanzo cha kutoa elimu kwa wenzao katika kuepukana na
migomo, upokeaji rushwa, na kuwafundisha wenzao maadili mema.
No comments:
Post a Comment