Huu ndio
ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano ambao Indonesia mabo utatumika katika
Fainali za mwaka huu za Miss QWorld 2013. Ni ukumbi wa kisasa ambao una
kila kitu ndani yake ikiwapo taa za uhakika, spika za sauti, na unauwezo
wa kuchukua watu hadi 11,000 walio keti.
Mwaka huu
mhindano ya Dunia ya Miss World 2013 yanataraji kufanyika 28 Septemba
katika ukumbi wa kimataifa wa stunning Sentul nje kidogo ya mji mkuu wa
nchi hiyo wa Jakarta. Ukumbi huu umejengwa kwa namnaya kipekee na
kuzungukwa na madhari ya kuvbutia ya safu za milima katika pande zote.
Indonesia ni nchi ambayo huelezewa kama eneo zuri na kubwa duniani. Taifa ambalo linavisiwa zaidi ya 17,500, huku lugha zinazozungumzwa ni 300, wakazi milioni 240 . Indonesia ni nchi iliyo jaa utajiri wa utamaduni na historia, kauli mbiu yao ni "Bhinneka Tunggal Ika" (Umoja katika Diversity).
No comments:
Post a Comment