Pages

Sunday, September 29, 2013

LIVE SCORE: SIMBA SC 2 - 0 JKT RUVU

dk ya 4 kipindi cha pili goaaaaaaaaaaaaalllllllll singano anaandika bao la pili
kipindi cha pili kimeanza 'HT Simba 1 - 0 JKT RuvuDK 35: Simba inaendelea kuongoza kwa bao lilofungwa na Tambwe.
KADI YA NJANO INATOKA
FAULO INAPIGWA BAADA YA SINGANO KUFANYIWA FAULO
DK 30 CHANONGO ANAMFANYIA MTU FAULO
 DK 25: Simba wanapata penati. Amisi Tambwe anapiga mkwaju wa penati na anafunga. Simba 1 - 0 JKT Ruvu
DK 29 HAMISI SINGANO ANAINGIA KIEMBA ANATOKA
DK 15: Milango bado migumu Simba 0 - 0 JKT Ruvu

DK 10 : Simba 0 - 0 JKT Ruvu

DK 5: Simba 0 - 0 JKT Ruvu

Mpira umeanza uwanja wa taifa
KWA MSAADA WA SHAFIH DAUDA

No comments:

Post a Comment